Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, December 31, 2013

BAADA YA JUSTINE BIEBER KUSEMA ANASTAAFU MUZIKI,MENEJA WAKE AFUNGUKA NA KUSEMA HAYA.

Scooter Braun ambaye ni manager wa msanii wa pop Justin Bieber amesema msanii wake anahitaji kupumzika na kwamba Justin hajapata nafasi hio toka akiwa na miaka 12 alipoingia
rasmi kwenye muziki. Kauli hii ameitoa manager huyo baada ya mahojiano ya Justin na kutio cha radio flani ambapo Justin alifunguka kuhusu kuacha muziki kabisa.

Manager  huyu aliyeanza kumsimamia Justin toka mwanzo wa safari yake ya muziki amesema "I'm Retiring Man" Ni jina la album ya 6 ya Justin na ataifanyia kazi mwakani.

Taarifa hizi za Justin kuacha muziki zilisamba baada ya Beiber kuandika kwenye ukurasa wake kuwa anastaafu muziki ila atabaki kuwabenda na kuishi kama "Belieber" na kuwa kuishi hivyo ni maisha ya mtu anayo chagua.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages