Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, December 8, 2013

BREAKING NEWS: HOPE KUTOKA BURUNDI NDIO MSHINDI WA TUSKER PROJCT FAME.

 


Mshiriki Hope toka Burundi amejikuta akianguka chini kwa mshituko wa furaha ulimkuta baada ya kuibuka kidedea kwa kutangazwa mshindi wa Tusker Project
Fame na kujinyakulia kitita cha Shilingi 5,000,000/= za Kenya .

Mashindano hayo yaliyomalizika hivi punde usiku huu yamemwacha Hope katika taharuki huku akiwabwaga wenziye; Hisia (Tanzania), Patrick (Rwanda),Wambura (Kenya), Daisy (Uganda),Amos & Josh wa Kenya(Pichani chini).

Sauti ya pekee ya kijana huyo imeibua thamani yake katika tasnia ya muziki,Hope hakuwahi kufanya video shooting ya wimbo wowote zaidi ya ule uliompatia ushindi wa Tusker.
Tembelea You-tube kuona yaliyojiri katika mashindano hayo. 


HII NDIO HISTORIA YA HOPE :
 Age : 25 years
Status : Academy
Country : Burundi
Occupation : Performer and Jazz Singer.
How do we know him :
Out of all the people left in Tusker Project Fame 6, Hope is one of the few who knows that he has the star power that people like. The son of a pastor father and singer mum, Hope grew up in a family with 8 boys and 2 girls. The advantage that he has is that Hope has already performed with major East African names like Kidum, so he knows what it takes to play major stages. Finally taking his shot and stepping out of the shadows, Hope is taking the stage to find out if he came make it.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages