HUU NDIO MJENGO WA SHILOLE ALIOUPOST INSTAGRAM

Wakati ambapo Shilole anaendelea kumuomba Mungu amalizie mjengo wake uliopo Kimara jijini Dar es Salaam,Shilole amepost Instagram picha ya nyumba yake iliyopo kwenye hatua ya mwisho kukamilika na kuandika: Mungu nisaidie nimalizie hii kitu ili watoto wangu wasije kupata tabu.”
Nyumba ya mwanadada shilole.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...