HUYU NDIYE MCHUMBA WA DIAMOND? ALIYEMTANGAZA MWENYEWE SIKU YA X-MAS LEADERS CLUB


HATIMAYE! Penzi la Diamond na Wema si kificho tena, Diamond amtambulisha Wema rasmi kama mchumba wake jana
  • HATIMAYE! Penzi la Diamond na Wema si kificho tena, Diamond amtambulisha Wema rasmi kama mchumba wake jana 1379719_654725334570888_100223854_n
Tukio hilo lilitokea rasmi jana kwenye show ya Diamond pale leaders Club ambapo Diamond aliuliza msahabiki wake kuwa ''Mntaka kumjua mchumba wangu?'' na ndipo baada ya muda mfupi alipanda stejini mwanadada Wema Sepetu na kuanza kucheza na Diamond na kukumbatiana naye kuonesha ishara ya penzi lao jipya hilo lililorudi kwa kasi.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...