Featured Posts

JUSTINE BIEBER ASTAAFU RASMI MUZIKI, HIKI NDICHO ALICHIKIANDIKA TWITTER

Justin Bieber amewapa mashabiki wake (Beliebers) zawadi mbaya kabisa ya Christmas mwaka huu: anastaafu muziki.
Coll-Justin-Bieber-2013-Wallpaper-HD-Free.png
Staa huyo wa Canada ameangusha bombshell hiyo kwenye Twitter na kuvilaumu vyombo vya habari kwa kuandika uongo kuhusu maisha yake.
Ni ngumu kujua kama kweli amemaanisha lakini kutangaza kwake leo ambapo filamu yake ya Believe imetoka, kutampa publicity ya nguvu.

0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...