Featured Posts

MWAMVITA MAKAMBA AMTIA DONGO LA MAANA JACK CLIFF BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA.


Mwamvita Makamba aandika maneno ya kejeli baada ya mwanadada Jackie Cliff kukamatwa na madawa ya kulevya huko china juzi...Mwamvita aliandika maneno hayo kupitia account yake ya twitter jana yalioyokuwa yana sema;
"Girls; Kama huna akili-hujasoma na huna kazi,kama ni mvivu na sio mbunifu,mpenda dezo na huwezi honest living mara mia 'Buzi' na sio 'Sembe'"
na huu ndo muonekano wa tweet hiyo..jionee mwenyewe

 

0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...