Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, December 22, 2013

PICHA: SIMBA ILIVYOICHAKAZA YANGA JANA KWA GOLI 3-1 - NANI MTANI JEMBE

Wekundu wa Msimbazi, Simba Sport Club jana waliibuka washindi wa mechi ya Mtani Jembe 2013 kwa kuwafunga watani wao wa jadi Yanga African goli 3-1 katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.
Wekundu wa Msimbazi wakishalia na kombe lao.
Wekundu wa Msimbazi Simba Sport Club wakishangilia pamoja na kombe lao
Mchezo huo maalum wa kufunga promotion ya ‘Nani Mtani Jembe 2013′ lililoandaliwa na Kilimanjaro Premium Lager umewafanya Simba kuibuka na kombe hilo,medali pamoja na hundi ya shilingi milioni 1,061,600 iliyotokana na mashabiki wa Simba kunywa bia ya Kilimanjaro na kutuma ujumbe wa namba kwa timu yao.
Yanga baada kufungwa goli 3-1 na Simba katika mechi hiyo ameibuka na kombe dogo,medali pamoja na shilingi milioni 98,938,400 zilizotokana na mashabiki wa Yanga kunywa bia ya Kilimanjaro na kutuma ujumbe wa timu yao.
Magoli ya simba yaliwekwa kimiani na mshambuliaji wake mahiri mwenye kasi nyingi na mbinu lukuki za ufungaji Hamisi Tambwe aliYEpachika magoli 2 huku bao la tatu likifungwa na mchezaji aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka Mtibwa Awazi Juma. Goli la Yanga lilifungwa na Emmanuel Okwi kwa kichwa.
Wachezaji wa Simba wakishangilia.
Wachezaji wa Simba wakishangilia
Kocha mkuu wa Yanga na wasaidizi wake kabla ya mechi kuanza.
Kocha mkuu wa Yanga na wasaidizi wake kabla ya mechi kuanza.
Kocha wa makipa wa Yanga akiwapa mazoezi makipa wa Yanga.
Kocha wa makipa wa Yanga akiwapa mazoezi makipa wa Yanga
Kocha wa Simba Zdravko Logarusic akiwa na wasidizi katika benchi la ufunzi la Simba.
Kocha wa Simba Zdravko Logarusic akiwa na wasaidizi katika benchi la ufundi la Simba
Kocha wa Simba Zdravko Logarusic  akifikiria jambo kabla ya mechi kuanza.
Kocha wa Simba Zdravko Logarusic akifikiria jambo kabla ya mechi kuanza
Kikosi cha Simba kilichoipoteza Yanga kwa magoli  3-1
Kikosi cha Simba kilichoipoteza Yanga kwa magoli 3-1
Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe,wadhamini wa promotion ya Nani Mtani Jembe  akikalidhi hundi ya pesa kwa viongozi wa Yanga.
Meneja wa Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe ambao ni wadhamini wa promotion ya Nani Mtani Jembe akikabidhi hundi ya pesa kwa viongozi wa Yanga
Okwi akiwa anasalimia mashabiki wa Yanga baada ya kuingia uwanjani.
Okwi akisalimia mashabiki wa Yanga baada ya kuingia uwanjani
Shabiki akikimbizwa hospitali baada ya kuzimia.
Shabiki akikimbizwa hospitali baada ya kuzimia
Simba wakikabidhiwa kombe la ushindi wa mechi Nani Mtani Jembe ,baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Yanga.
Mgeni rasmi Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akikabidhi kwa Simba kombe la ushindi

Simba walianza mchezo kwa dua maalum.
Simba walianza mchezo kwa dua maalum
Waigizaji Mashabiki wa Yanga Shamsa Fodi akiwa na Maya wakifuatila mpira kwa makini.
Waigizaji wa filamu ambao ni mashabiki wa Yanga Shamsa Ford na Maya wakifuatila mpira kwa makini
Wekundu wa Msimbazi wakishalia na kombe lao.
Wekundu wa Msimbazi wakishangilia na kombe lao
Simba wakikabidhiwa hundi yao ya milioni 1,061,600 zilizotokana na promotion ya shindano la Nani Mtani Jembe, kwa mashabiki  wa Simba kunywa bia ya Kilimanjaro nakutuma ujumbe wa time yao
Simba wakikabidhiwa hundi yao ya shilingi milioni 1,061,600 zilizotokana na promotion ya Nani Mtani Jembe
Yanga wakikabidhiwa hundi yao ya milioni 98,938,400 zilizotokana na promotion ya shindano la Nani Mtani Jembe,iliyotokana mashabiki  wa Yanga kunywa bia ya Kilimanjaro nakutuma ujumbe wa time yao.
Yanga wakikabidhiwa hundi yao ya shilingi milioni 98,938,400
IMG_5702
Gerson Tegete
IMG_5508
IMG_5510
IMG_5537
IMG_5587
IMG_5589
IMG_5590
IMG_5598
IMG_5605
IMG_5609
IMG_5638
IMG_5639
IMG_5640
IMG_5642
IMG_5645
IMG_5658
IMG_5661
IMG_5662
IMG_5664
IMG_5703
IMG_5705
IMG_5709
IMG_5711
IMG_5712

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages