Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, December 9, 2013

PICHA: WANACHAMA WA CHADEMA MKOANI KIGOMA WACHOMA MOTO BENDERA NA KADI ZAO KUFIKISHA UJUMBE KWA MBOWE NA SLAA

Chadema chama kilichojengwa kwa NGUVU kubwa ya propaganda ya vyombo vya habari vya IPP kwa ushilikiano mzuri wa baadhi ya magazeti, 

Sasa kimebaki HISTORIA mkoani KIGOMA, bendera kadi,zinachomwa MOTO hadharani vijiwe ofisi zinabomolea,

Mandamano makubwa kufanyika MWANZA J'pili SINGIDA nao wajianda pengine ni nchi nzima,

               R I P chama cha Kaskazini Chadema 
Wanachama na wafuasi wa Chadema wakiandamana katika mitaa mbalimbali ya kigoma ili kupinga ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa mkoani humo pamoja na kupinga maamuzi yanayofanywa na Kamati kuu ya Chadema. Maandamano hayo yanaendelea hivi sasa

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages