Featured Posts

PICHA:MAANDALIZI YA SEHEMU YA MAZISHI YA RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI NELSON MANDELA

Hili ni Banda linaloendelea kujengwa katika eneo la makazi ya Hayati Nelson Mandera kwa ajili ya maandalizi ya shughuli za maziko yanayotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii, ambapo zaidi ya viongozi 70 wa mataifa makubwa, kutoka pande zote za dunia wanatarajia kuhudhuria maziko hayo.



0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...