Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, December 12, 2013

PICHA:RAIS OBAMA ,BUSH, BILL CLITON NA WAKE ZAO NDANI YA NDEGE YA AIRFORCE ONE WALIPOKUWA WAKIELEKEA AFRIKA KUSINI

Hizi ni picha za behind the scene wakati wa safari ya viongozi wa Marekani akiwemo Rais Barrack Obama na mke wake Michelle, Rais wa zamani George W. Bush na mkewe, pamoja na mke wa Bill Clinton Hillary walipokuwa ndani ya ndege ya Air Force One wakielekea katika hafla ya kumbukumbu ya Mandela Jumatatu wiki hii.
af-2
Obama na Bush ndani ya Air Force One
af-3
Picha zimepigwa na mpiga picha ikulu ya Marekani Pete Souza.
af-4
af-5
Obama akiwa anaipitia na kuirekebisha hotuba yake aliyoitoa wakati wa hafla ya kumbukumbu ya Mandela
af-1
af-6
Walipowasili Afrika Kusini

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages