Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, December 14, 2013

SAM MISAGO AFIWA NA BABA YAKE

Mtangazi wa kipindi cha power jam east africa radio  na friday night live SAM MISAGO amefiwa na baba yake mzazi siku ya jana  mazishi yatafanyika kijijini kwao arusha. DARVEL  BLOG INAMPA POLE SANA SAM MISAGO NA TUPO NAWE KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages