Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, December 28, 2013

SOMA HAPA: SNURA ATOA YA MOYONI KUHUSU WEMA SEPETU NDANI YA MTANDAO WA INSTAGRAM.Hatimaye baada ya ukimya mrefu kuhusu urafiki wao, leo hii Snura ameamua kufunguka, na kukumbuka fadhila na ukarimu wa Wema kwake kipindi cha nyuma na hasa alipotoka mara ya kwanza kabisa kimuziki. Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwimbaji huyo wa NIMEVURUGWA ame andika kifuatacho: Hakuna kitu kizuri kama kushukuru na kukukumbuka fadhila no matter what. Well done Snura

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages