Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, December 30, 2013

TAZAMA BASI JIPYA LA AZAM TV, KILA KITI KINA TV, KUNA CHOO NDANI, FRIJI.


Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi.

 Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.


Kitu cha maana
Kila siti ina TV
Kuna friji
Kuna choo

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages