Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, December 18, 2013

TAZAMA HAPA DIAMOND ALIVYOSHAMBULIWA BAADAYA KUPOST PICHA AKIWA AMEVAA KOFIA YA CHRISMAS.


1461277_664125493609268_850758340_n
Wakati ambapo zimebaki siku chache tu hadi tusherehekee sikukuu ya Christmas, mastaa wengi duniani wamekuwa wakishare kadi zao spesho za Christmas zenye picha zao pia. Kwa Nigeria tayari Iyanya amefanya hivyo.
1ec2721c627111e3ac1a0e011c169464_8
Lakini damu ya kunguni ya Diamond Platnumz yenye harufu kali ipitapo jirani na pua za ‘haters’ wengi wa Kibongo, imemponza baada ya kuweka picha ya kadi ya Christmas kwenye ukurasa wake wa Facebook. Haijulikani lakini kama ni kadi ama ni teaser ya kampeni yake kama balozi wa Cocacola. Haikuchukua muda, baadhi ya mashabiki wake wakaanza kuicheza kadi ya ‘udini’.
Bonyeza hapa kusoma mtanange huo.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages