Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, January 16, 2014

ANGALIA WACHEZAJI WA TENNIS NA MUOKOTAJI MIPIRA WALIVYOZIMIA KUFUATIA JOTO KALI LILILOIKUMBA AUSTRALIA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MASHINDANO YA TENNIS

Mchezaji wa tennis wa Uingereza, Andy Murray amesema anaogopa kuwa mtu anaweza kupata mshtuko wa moyo kama waandaji wa mashindano ya Australian Open wataendelea kusisitiza kuendelea kwa michezo kwenye joto kali la (42C) jijini Melbourne, kama walivyocheza jana Jumanne.
AP-DO-NOT-USE-Andy-Murray-1424430
Murray alitumia saa 1 na dakika 27 jana na kumshinda Mjapan Go Soeda kw a6-1, 6-1, 6-3 katika siku ambayo mchezaji wa Canada, Frank Dancevic alizimia akiwa mchezoni dhidi ya Peng Shuai wa China, aliyetapika.
dan_2790489a
Frank Dancevic akipewa huduma ya kwanza baada ya kuanguka uwanjani kutokana na joto kali
ball-boys-are-fainting-in-the-108-degree-heat-at-the-australian-open
Kijana anayechukua mipira naye alianguka wakati wa mechi nyingine
Bingwa huyo wa Wimbledon alisema uamuzi wa kuruhusu michezo iendelee inaonesha picha mbaya ya mchezo huyo.
heat1_2790483a
peng_2790492a

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages