B12,ADAM MCHOMVU, DJ FETTY NA DIVA WAREJEA CLOUDS

Hatimaye watangazaji wa Clouds FM, B12, Adam Mchomvu na DJ Fetty wamerejea tena hewani baada ya kuwa kimya kwa wiki kadhaa kutokana na tetesi kuwa walikuwa wamesimamishwa kazi.
clouds
“WE BACK AGAIN In BIZNEZ..Double XL Kwa Hewa with B Dozen , fetty,Baba Jonii,Dj Steve B Mpaka kumi za jioni, Along side DeeAndy n Soudy Brown,” ameandika B12 kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Naye Fetty ameandika ujumbe wa mafumbo kwenye kurasa zake za Twitter na Facebook akisema: I think everyone should experience defeat at least once during their career. You learn a lot from it, good afternoon.
“Expect what u have missed for a while now….my voice..xxl baby,” aliongeza.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...