Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, January 9, 2014

BBC RADIO 1XTRA YAMTAJA DIAMOND MIONGONI MWA WASANII WA KUWAANGALIA MWAKA 2014 BARANI AFRIKA

DJ wa kituo cha radio maarufu kwa burudani nchini Uingereza kilicho chini ya shirika la habari la Uingereza, BBC cha BBC Radio 1Xtra, DJ Edu, amemtaja Diamond Platnumz, miongoni mwa wasanii watano wenye dalili za kufanya vizuri barani Afrika mwaka 2014.
BBC Radio 1Xtra Presenters
DJ Edu
Wasanii wengine waliotabiriwa kufanya vizuri Afrika ni pamoja na Kaysha,(msanii wa DRC aishie Ufaransa), Wyre wa Kenya, Radio na Weasel wa Uganda na King James wa Rwanda.
Bonyeza hapa kumsikia DJ Edu akiwaelezea.
Kaysha
Radio and Weasel
King James
Wyre

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages