BREAKING NEWS: MBUNGE WA CHARINZE (CCM) SAID RAMADHANI BWANAMDOGO AFARIKI DUNIA.

Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.
Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa (MOI), amefariki dunia!

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...