BREAKING NEWS: ZITTO KABWE ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA CHADEMA.


Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe ameshinda kesi yake aliyoifungua akiitaka Kamati Kuu ya Chadema kutojadili Uanachama wake hadi kesi ya msingi aliyoifungua itakaposikilizwa.

 kwa taarifa zaidi endelea kutembelea blog yetu ya DARVEL FORUM.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...