Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, January 9, 2014

HILI NDILO GARI AMBALO "TYGA" AMENUNUA LENYE THAMANI YA SH. BIL 3.5 AMBALO JAYZ NA BIRDMAN PEKEE WENYE GARI KAMA HILO

Rapper wa YMCMB, Tyga amenunua gari la kifahari lenye thamani ya dola milioni 2.2 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 3.5.
tyga_hotel_california_youngmoney
Vyanzo vilivyo karibu na Tyga vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Tyga amenunua gari hilo aina ya ’2014 convertible Maybach 62 S Landaulet’ lenye thamani ya $1.3 mil. Hata hivyo, Tyga ametumia karibu dola milioni 1 kulipamba.
Maybach Landaulet 240 2007
Kampuni maarufu ya West Coast Customs imeipimp gari hiyo kwa kuongeza vitu mbalimbali ikiwemo TV yenye inch 40.
Tyga anaungana na Jay Z na Bird Man wanaomiliki gari aina hiyo. Inasemekana kuwa Tyga amepanga kuionesha gari hiyo kwenye video yake ya “Wake Up In It.”
Birdmans-Drop-Top-Maybach-62S-Landaulet-7
Birdman na Nicki Minaj wakiwa ndani ya 2014 convertible Maybach 62 S Landaulet
maybach-landaulet-study-11_1283737920
maybach-landaulet-11

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages