Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, January 21, 2014

HILI NDILO TANGAZO LA TV ALILOFANYA "MICHELE OBAMA" AKIWA NA TEAM YA BASKETBALL YA "MIAMI HEAT". TAZAMA HAPA.

Wiki iliyopita Miami Heat walitembelea Ikulu ya Marekani kusherehekea uchampion wao wa mwaka 2013 ambapo wakiwa hapohapo Ikulu waliungana na first lady kusupport kampeni ya let’s move kwenye tangazo la TV ili kusisitizia umuhimu wa kula vizuri, kula kwa afya na kunywa maji ili kuwa imara kama champion.

Tangazo hili la TV lililowekwa Youtube January 21 2014 linaihusu kampeni hii ya kuimarisha afya.
Screen Shot 2014-01-22 at 2.38.42 AM Screen Shot 2014-01-22 at 2.39.01 AM 
TAZAMA TANGAZO HILO HAPA CHINI:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages