Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, January 14, 2014

HUYU NDIYE MPENZI WA ALIKIBA, ALIYE MUONESHA MWENYEWE INSTAGRAM

Ally Kiba anaweza kuwa hasikiki sana kwenye redio miaka ya hivi karibuni na humsikii akilalamika. Huenda mrembo huyu anaweza kuwa sehemu muhimu katika moyo wake na hivyo kumfanya azisahau stress za mainstream (kwa sauti ya Godzilla aka Zizi).
6fc7835a7b8f11e391d012f99f952f1f_8
Mkali huyo ambaye hivi karibuni alikuwa Nairobi kurekodi collabo yake na Redsan, amepost picha kwenye Instagram akiwa na mrembo ambaye hakuna shaka kuwa ni ubavu wake wa pili.
Mmmh.. yummy!!

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages