Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, January 9, 2014

INSTAGRAM: DIAMOND ATUPIA PICHA YA SWIMMING POOL ANAYOJENGA KWENYE NYUMBA YAKE MPYA. TAZAMA HAPA


Superstar Diamond Platnumz ametupia picha za project yake ya mjengo wake mpya unaoendelea kujengwa ukiwa na swimming pool. Diamond hakika ni mpenzi wa kuogelea na tueweza kuona hilo kupita picha zake nyingi ambazo huwa anatupia kwenye mtandao. Na kama mtakumbuka vizuri kuna birthday yake moja aliisha wahai kuifanyia kwenye swimming pool somewhere in Dar. 

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages