PICHA: JENGO LA KUHIFADHIA DAWA LA ARK LILILOPO BARABARA YA NYERERE JIJINI DAR LILIVYOKUWA LIKITEKETEA KWA MOTOTaswira ya moto mkubwa umezuka nyuma ya Kituo cha mafuta cha Victoria kilichopo Barabara ya Nyerere kuelekea Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam  

Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa jioni hii katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali bado si shwari. Sehemu iliyoathirika zaidi  ni ghala la kutunzia dawa za binadamu la kampuni ya Philips.  PICHA NA MDAU SHUMBUSHO

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...