Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, January 14, 2014

PICHA: UTENGENEZAJI VIDEO YA WIMBO WA ANGEL - NISAMEHE

Mwanadada Angel aliyekuwa mshiriki wa TPF6 anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya, Nisamehe. Video hiyo inafanywa na kampuni ya Legendary Music Video. Hizi ni baadhi ya picha za uchukuaji wa video hiyo.
1 (640x427)
2 (640x427)
3 (640x427)
4 (640x427)
5 (640x427)
6 (640x427)
8 (640x427)
7 (640x427)
9 (640x427)

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages