Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, January 21, 2014

STUDIO YA PROFESA JAY "MWANALIZOMBE STUDIO" YAANZA KAZI RASMI

Mwanalizombe studio ni studio inayomilikiwa na nguli wa muziki wa Bongo Fleva nchini katika mtindo wa Hiphop Joseph Haule aka Prof. Jay ambayo imeanzishwa miezi takriban miwili iliyopita.

Studio hiyo ambayo msanii wake wa kwanza kuingia lebo ni Jacob Makala aka JCB ipo maeneo ya Msasani mwisho jijini Dar imeanza kazi rasmi siku ya leo. Kupitia akaunti yake mtandaoni Professor Jay ameandika hivi:
“MWANALIZOMBE STUDIOS!! Ni studio inayomilikiwa na PROFESSOR Jay na imeanza kazi rasmi chini ya Producer Mwenye upeo mkubwa sana Anaitwa VILLY. ….Ipo Msasani mwisho karibu na CAPETOWN FISH MARKET, Wasiliana nasi kwa number +255757919192 na emails ni mwanalizombestudios@yahoo.com na mwanalizombestudios@gmail.com
KARIBUNI SANA…. WE BRING MORE FIRE!!!!”

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages