Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, January 17, 2014

TANZANIA YAPANDA KWA NAFASI 2 VIWANGO VYA FIFA YAWA YA 118

Tanzania imepanda kwa nafasi 2 kwenye viwango vipya vya FIFA na kukamata nafasi ya 118. Viwango hivyo vya FIFA vimetoka leo, Alhamis ambapo Tanzania imepata pointi 261.
fifa
Hata hivyo hakuna mabadiliko makubwa kwenye viwango hivi vya January kwakuwa hakuna mechi nyingi zilizochezwa mwenzi December. Hispania bado imeendelea kushika nafasi ya kwanza duniani. Hispania imepata pointi 1,507 ikifuatiwa na Ujerumani (1,318) na Argentina (1,251).
Brazil wamebaki katika nafasi ya 10 huku Ivory Coast ikiwa nchi ya Afrika iliyoshika nafasi ya juu, 17. Viwango vijavyo vitatangazwa February 13.
TAZAMA HAPA:TANZANIA IN FIFA.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages