Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, January 22, 2014

TAZAMA NDEGE ISIYO NA RUBANI ILIVYOTUMIKA KUSIMAMIA MTIHANI NDANI YA DARASA.

Ndege isiyo na rubani (drone) yatumika kusimamia mitihani

Shule moja ya nchi Ubelgiji imeamua kutumia ndege isiyo na rubani (drone) kusimamia mitihani baada ya kushindwa mbinu za kawaida kuwazuia wanafunzi kufanya udanganyifu katika mitihani yao.


Ndege hiyo ina kamera ya kuchukua picha za video pamoja na kurekodi harakati yoyote inayotia wasiwasi kutoka kwa mwanafunzi yeyote yule na kurusha moja kwa moja kwenye TV harakati yoyote ile isiyo ya kawaida.

Ingia kwenye link hii hapa kuona video ya ndege hiyo inapokuwa kazidi darasani
BOFYA HAPA KUONA LINK YENYEWE 

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages