UNAKIPAJI CHA KUIMBA, KUCHEZA, KUIGIZA, NA UNATAKA KUWA MWANAMITINDO SOMA HAPA ZAIDI TUKUTANE MASAI PUB JUMAMOSI HII 25/1/2014.


 wewe unakipaji cha KUIGIZA ,KUIMBA ,MITINDO,KUIGIZA NA N.K sasa ndiyo wakati wako wa kufikia malengo ya ndoto zako. ,BLACK AFRICANA INTERTAINMENT wanatafuta watu wenye vipaji bila kujali umri wala jinsia. Usaili utafanyika tarehe 25/01/2014 KINONDONI MKWAJUNI KATIKA UKUMBI WA MASAI PUB  saa 4:000 asubuhi Na tarehe 1/02/2014 katika ukumbi wa TANYA COMPLEX yombo dovya kuanzia saa 4:00 asubuhi. HAKUNA MALIPO YOYOTE.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...