Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, February 28, 2014

MANENO YA KASHFA ALIYOYASEMA OSTAZ JUMA KWA WASANII, BLOGGERS NA WATANGAZAJI WA REDIO HAPA NCHINI. SOMA HAPAOstaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..
2
Hiki ndicho alichokiandika kwenye Facebook:
Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika mitandao et, tatizo wasanii wa tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji Radio na wasanii njaa ndio zinazo wasumbua.
Hata mkisema napata pesa kwa utapeli mitandaoni sawa ila ndio pesa zangu na ndio zinawafanya mnitetemekee na kunitaja kwenye vinyimbo vyenu visivyokua na ubora. Sawa mimi tapeli naibia watu hilo sikatai nakubali mimi tapeli ila imekuaje msanii wenu kaja kunipigia magoti?
Wasanii wa bongo njaa sana na mtakufa na njaa zenu. Acheni muendelee kunyonywa kwa ujinga wenu shule mmezikimbia tatizo. Mnaniona mimi mbaya kuweka picha Za PNC zimewauma sana eeh. Hahahahahahahahahah pesa inaongea hata mseme nini.
Naomba nyie mabloger na watangazaj msio kua na taaluma wekeni na hii.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages