Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, February 20, 2014

PICHA ZA DIAMOND NA VICTORIA KIMANI ZAZUA UTATA MITANDAONI

Mradi wa ‘Do Agric’ wa One Campaign umewakutanisha wasanii wengi wa Afrika pamoja, lakini inaonekana umewaweka karibu zaidi wasanii wawili ambao kwa picha zilizoonekana kwenye Instagram, ni wazi wana chemistry ya hatari. Wasanii hao si wengine zaidi ya Diamond Platnumz na Victoria Kimani wa Kenya.
a7912188998f11e3b5750e3183fdef5a_7
Katika picha ya kwanza iliyowekwa kwenye Instagram na Diamond, wawili hao wanaonekana wakiwa pamoja wakati wa kushoot video hiyo iliyokutanisha wasanii zaidi ya 20 wa Afrika na staa huyo wa ‘Ngololo’ kuandika: ‘Sometimes you Need tu Nuna’.
9bd633ec98db11e3935f12621337951f_8
Picha hiyo imevutia comments kadhaa kutoka kwa mashabiki wa Diamond walioanza kumlinganisha mrembo huyo na first lady wake, Wema Sepetu. “Ni mzuri lakini hamfikii Wema,” ameandika mmoja.
“Oh hell. I hope not, coz if it iz, then me and ma super sis gon have to kick you metallic ass bway,” alindika milliandollarboy.
Baadaye Victoria Kimani alipost picha nyingine akiwa na Diamond na kuandika: Me and @diamondplatnumz Yo , I think we gotta get in the studio together and shoot the video in a farm #sexyTings #doagric #Africa.”

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages