VANESSA MDEE ANAKUJA NA KIPINDI KIPYA CHA TV KITAKACHOITWA "THE ONE SHOW" SOMA HAPA ZAIDIVanessa Mdee

Mwanadada Vee Money sasa anatarajiwa kuonekana katika kituo kipya cha televisheni, Tv1 na atakuwa anaongoza talk show mpya kabisa itakayojulikana kwa jina la 'The One Show'. 

Vanessa amesema show hiyo itakuwa ikiwahoji watu maarufu katika tasnia ya burudani nchini kuanzia wasanii wa muziki, filamu na wengineo.

Vee amesema tayari wameanza kurekodi vipindi na show itaanza kuruka mwezi ujao.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...