WEMA SEPETU ATHIBITISHA LEO KWENYE LEO TENA NA CLOUDS FM KUWA UHUSIANO WAKE NA DIAMOND UNAZIDI KUSHAMIRI.

Wema Sepetu amethibitisha kuwa kwa sasa yeye na Diamond Platnumz wana uhusiano imara wa kimapenzi ukilinganisha na zamani.
wema na diamond
Akizungumza kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM, leo, Wema amesema kuwa mapenzi yake na Diamond yamekuwa na nguvu kutokana na kudumu kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4.
“Kweli niko na Nasib na nadhani muda huu kutakuwa na utulivu ndani yake,” amesema. “Ule utoto tuliokuwa tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka mwaka 2010 kwahiyo tuna ni miaka 4 sasa. Kwa sasa tumeamua kuwa serious.”

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...