DAAA!!! INASIKITISHA SANA: HII NDIO AJALI ILIYOTOKEA LEO KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR

BREAKING NEWS:. AJALI MBAYA KITUO CHA MABASI UBUNGO JIJINI DAR

Mkusanyiko wa watu wakiwa eneo la ajali Ubungo jijini Dar es Salaam.
Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali imehusisha magari 6 likiwemo UDA mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...