Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, March 25, 2014

INASIKITISHA SANA!! MDADA HUYU WA KAZI ACHARANGWA NA VIWEMBE USONI TAZAMA PICHA HIYO HAPA.DADA huyu mkazi wa Same mkoani Kilimanjaro alijeruhiwa vibaya sehemu za usoni na kitu chenye ncha kali kikihisiwa kuwa ni kiwembe, 
Tukio hilo lilijiri siku ya Jumapili Wiki iliyopita, 
Chanzo cha habari kilieleza kuwa ugomvi ulisababishwa na wivu wa mapenzi. 
Chanzo hakikutaja jina laDada huyu wala mtuhumiwa mpaka sasa Dada huyu yupo Hospitali ya wilaya Same. Taarifa zaidi endelea kufatilia hapa.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages