Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, March 25, 2014

KANYE WEST ANATAKA KUMUOMBA MARY J BLIGE KUTUMBUIZA KWENYE HARUSI YAKE NA KIM KARDASHIAN.

Chanzo kimoja kimesema kuwa rapper Kanye West ana mpango wa kumuomba mwimbaji Mary J. Blige atumbuize katika harusi yake na Kim Kardashian inayotarajiwa kufanyika May 24.
Kim and Kanye
Kwa mujibu wa Hollywoodlife, chanzo hicho kimesema Kanye ambaye ni shabiki mkubwa wa Blige anapenda siku ya harusi yao mwanamuziki huyo mkongwe awaimbie wimbo wake wa ‘Everything’.
“Moja ya nyimbo za Mary azipendazo ni ‘Everything’”, chanzo hicho cha karibu na Kimye kilisema.
“Wimbo huo unazungumza kila kitu kuhusu mapenzi yake kwa Kim, katika kila ubeti, anahitaji wimbo huo uimbwe katika harusi yake hivyo anafanya mazungumzo na Mary”.
Chanzo kingine kimesema Kim pia ni shabiki wa Mary na wimbo huo Kanye alimuwekea Kim siku ya kwanza walipokutana hivyo kitakuwa ni kitu kikubwa kwa Kim endapo Mary J. atauimba katika harusi yao.
Haya ni mashahiri ya wimbo huo ‘Everything’ ya Mary J. Blige
You are my everything
You are my everything
You, my everything
Everything, everything, everything
[Vs.1]
It’s all because of you
I’m never sad and blue
You’ve brightened up my days
In your own special way
Whenever you’re around
I’m never feeling down
You are my trusted friend
On you I can depend
[Bridge]
You take me away
From the pain
And you bring me paradise
And when there were cloudy
days you brought sunshine in my life
It never occurred
To me the first time I saw your face
I would fall so deep in love
That your love can’t be replaced
[Chorus:]
You are my everything (you are my everything)
love so good, so good only you can bring
You are my everything
You are everything
and everything is you
[Vs.2]
My darling only you
Can make my dreams come true
And every night I pray
You’ll never go away
I promise I will try
Until the day I die
To treat you like a king
Cause you are my everything
[Bridge]
[Chorus]
You are everything
And everything is you
[Repeat 4x]
When you’re lovin me
Put your lovin arms around me
When you’re lovin me
Said I feel so safe I found security
When you’re lovin me
Forever I want you home with me
My everything
my every every every everything
[Chorus]
You take me away

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages