Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, March 6, 2014

LUPITA ASHAMBULIWA NA MREMBO HUYU WA CAMEROON ALIYEJICHUBUA ADAI " LUPITA ANATAKA KUHARIBU BIASHARA YAKE"

Sio kila mtu anafurahishwa na mafanikio ya Lupita Nyong’o. Kwa Dencia (msanii mwenye asili ya Cameron/Nigeria) Lupita ni kimeo kinachotaka kumharibia biashara yake.
page
Dencia aliamua kujichubua (bleach) mwili mzima ili awe mweupe na kuamua kuanzisha cream yake ‘Whitenicious’ ya kufanya kazi hiyo ambayo imekuwa ikinunulia kama njugu na wasichana wa Afrika wanaotaka kuwa weupe kama wazungu. Hivyo, hivi karibuni Lupita alikuwa akiongea kwenye hafla jarida la Essence ya ‘Black Women in Hollywood’ wakati akipokea tuzo ya Best Breakthrough Performance na akasema kuwa alipata barua kutoka kwa shabiki aliyemwambia:
“Dear Lupita, I think you’re really lucky to be this Black but yet this successful in Hollywood overnight. I was just about to buy Dencia’s Whitenicious cream to lighten my skin when you appeared on the world map and saved me.” Hotuba ya Lupita ilikuwa ni kuwaambia wasichana wa Afrika kupenda weusi wao na kwamba rangi si hoja.
UPTOWN_dencia_whitenicious
Dencia kabla na baada ya kujichubua
Kauli hiyo ya Lupita ilimkera Dencia aliyeamua kuandika kupitia Twitter:

A girl wrote u a letter?lol thru which email when I just checked ur twitter n can’t see an email address!!Ir pr tried n thanks 4 the Pub.
Again I don’t watch movies unless it’s Comedy or Romance I won’t even watch anything w title “Slaves” I studied enuff in my history class.
And she forgot to tell the non existent black girl that ur skin color doesn’t take u to hollywood hard work does,then again her color did.
Duh cuz I won’t accept a role because they think I look like a slave,I work hard and decide what I want 2 do but she can’t do that,the white man got their lil slave lol.SOURCE: BONGO 5

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages