Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, March 3, 2014

LUPITA NYONG'O ASHINDA TUZO YA OSCAR KAMA "BEST SUPPORTING ACTRESS"

>Muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o Alfajiri ya leo ameshinda tuzo ya Oscar ya muigizaji bora msaidizi wa kike kwa uhusika wake kama Patsey kwenye filamu ya 12 Years a Slave.
Lupita+Nyong+o+86th+Annual+Academy+Awards+06nQ0wGEAoSl
Nyong’o, 31, aliyeshinda tuzo ya Oscar kwenye filamu yake hiyo ya kwanza alipata shangwe za nguvu baada ya kutajwa kuwa mshindi.
Lupita+Nyong+o+Arrivals+86th+Annual+Academy+7fDugk2rpLDl
Lupita+Nyong+o+Arrivals+86th+Annual+Academy+Es2E157Urvdl
Lupita akiwa kwenye red carpet ya Oscar
Amemshinda muigizaji mwenzie Jennifer Lawrence wa American Hustle” aliyekuwa akitajwa zaidi kuichukua tuzo hiyo. “Yes!” muigizaji huyo alisikika akisema wakati akipokea tuzo hiyo huku akimkumbatia kaka yake, muongozaji wa 12 Years a Slave, Steve McQueen na waigizaji wengine wa filamu hiyo.
Lupita+Nyong+o+86th+Annual+Academy+Awards+X-ZsM00Ufkkl
Tuzo hiyo inamweka Lupita kwenye nafasi ya juu kabisa ya mafanikio kwenye Hollywood.

CHANZO: BONGO 5

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages