Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, March 18, 2014

NEWS: VIFAA VIWILI VILIZIMWA NDANI YA NDEGE YA MALAYSIA PINDI IPO ANGANI. SOMA ZAIDI.Screen Shot 2014-03-17 at 11.49.52 PMIkiwa haijulikani ilipo kwa zaidi ya siku sita, habari nyingine kuhusu ndege hii iliyokua na abiria 239 zinaonyesha machahe mapya kwamba muda mfupi baada ya kupaa kuna mtu alizima kifaa cha mawasiliano cha ndege hiyo ambacho hutuma mwenendo wa ndege ardhini
Unaambiwa saa kadhaa kifaa kingine cha kuonyesha mwelekeo na speed ya ndege kilizimwa, hiyo ni wakati ndege ipo katikati ya bahari na hapo ndio mamlaka ya anga Malaysia walisema ndege imewapotea.
Time hizohizo walisikia sauti kutoka kwenye ndege ikisema alright, usiku mwema yani mtu akiashiria kila kitu kilikua poa.
Msako wa kuitafuta sasa hivi umeongezwa na unafanywa kwenye kina kirefu zaidi cha bahari na kwenye nchi kumi na moja ambapo nchi 26 ndio zinasaidia kuitafuta hii ndege huku Pakistan na India zikisema ndege hii haijaonekana kwenye anga zao.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages