Featured Posts

PICHA HII YA DIAMOND AKIWA NA ROMMY WAKIONESHA DOLE KATI YAZUA UTATA MITANDAO YA KIJAMII.


Baada ya Rommy Jones Kuweka picha hii Instagram ..Soma kilichofuata hapo chini kutoka kwa Mashabiki wa Diamond:

samsteven62 Mh broo hapa nakupinga na hicho kidole km vp 

delete hii post

hassanmapunda Kumbe ni fala plutnamz

shaurimjaka Umezingua hicho kidole una mfuck nani sasa

evelinusb Unazingua

saidimtanga hii sio poa kabisa y mnatuonyesha kidole cha kati  

@diamondplatnumz_

reubeneliasi Fack you

1whitebeauty Karibuni sana.. @romyjons @diamondplatnumz

brightlibius Mmeharibu bwn nn sasa hiyo tatizo la cerebrates 

wetu ni shule sidhani kama mtu 

alieenda shule anaweza kufanya ujinga huu

frankspair Shule nayo inasaidia jaman let's go back to school

rchuggalady4real Usenge uwo sasa,inakuwaje unatutukana 

tena.unazingua platinum

dorothea06 Sasa nn hvyo ulimbuken sas!

mamshomy Xjapend wala nn umearibu jiji la amani hlo 

unazingua si kisenge yan platnm

oscaraden444 Dah aya bhana ipo siku na ww utatukanwa ivo

salumkaka ilo dole la kati linamuhusu nani

wemasepetu hihihihihi... mie napita... ila mmependeza vipenzi 

vya roho yangu....

halimaabduly Pendaza vipenz vya $

romyjons Ok. @wemasepetu

edwardma2ngus Kuna vi2 vya kuiga but kwa hik unaonye jinc 

ulvyo mpuuz!!!!!!!! At cjapenda kabixaaaa 

jamalysongo Kwaio we diamnd umeona ishu sana kupiga ilo 

dole fala wewe akili una wew kubwa zima akili amna


0 comments:

Header AD

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...