Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, March 15, 2014

PICHA: MALAYSIA MAMTUMIA MGANGA WA KIENYEJI KUTAFUTA NDEGE YAO ILIYOPOTEA TAZAMA HAPA.


KUPOTEA KWA NDEGE YA MALAYSIA NI MAAJABU..WATUMIA MPAKA WAGANGA WA KIENYEJI

Karibia Week Sasa kama Si week, lakini hakuna alamu yoyote ya ndege ya Malaysia Airlines, haijulikani kama imedondoka au imezama baharini na kama ingezama mabaki yangeonekana au hata kama ingelipuliwa mabaki nayo yangebaki, sasa sijui imepotelea wapi! Kila nikifuatilia nakutana na still missing!Wakati ambapo China imepeleka angani satellite 10 kuitafuta ndege ya Malaysia Airlines iliyopotea, serikali ya Malaysia imewaomba waganga wa kienyeji kusaidia zoezi hilo.
Mganga maarufu nchini humo Ibrahim Mat Zin anayejulikana kama ‘Raja Bomoh Sedunia Nujum VIP’ alifanya tambiko kwenye uwanja wa ndege Kuala Lumpur Jumatatu hii kusaidia kuitafuta ndege hiyo ya MH370. Anadaiwa kuitwa na viongozi wa juu wa serikali.
“Nadhani ndege bado ipo angani ama ilianguka baharini,” alisema Ibrahim Mat Zin.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages