Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, March 15, 2014

WEMA NA DIAMOND KIMENUKA,. YADAIWA KUKWARUZANA KISA VICTORIA KIMANI,..SOMA ZAIDI HAPA


Inasemekana lakini ....Habari kutoka Segment ya U-Heard ya Sudi Brown wa Clouds FM imehabarisha kuwa Wema na Diamond Jana walikwaruzana baada ya Wema kuhisi kuwa Diamond anatoka na Mwanamuziki wa Kenya Victoria kimani ..hii ilitokea Diamond na Victoria walipokuwa Studio wakifanya wimbo inasemekana Diamond hakumwaga Bi Wema , Wema aliona tu kwenye Instagram kuwa mida hiyo Diamond yupo na Victoria ndio ikabidi awafungie Safari na kuzua Timbwili la haja , Inaonekana Wema aliona Wivu baada ya kuwa na Tetesi kuwa Diamond anatoka na Mwanadada huyu kutoka Kenya...

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages