YOUNG KILLER AKILA RAHA NA DEMU WAKE,.TAZAMA HAPA


Rapper mkali ni muhimu awe na demu mkali… vinaendana. Young Killer amelizingatia hilo kwakuwa sasa ni miongoni mwa maemcee wanaoweza kujitokeza pale wanapoitwa wachanaji wenye mademu wakali.


Mkiss Mchumu Mwaaaa: Young Killer na Halimaty

Hitmaker huyo wa Dear Gambe amekuwa akionekana akihang out na msichana aitwaye Halimaty ambaye kudhihirisha kuwa amezama kwenye penzi la rapper huyo kutoka Mwanza, ameongeza jina la Msodoki mbele ya jina lake ‘Halimaty’.


Tangu wawe pamoja Young Killer hachoki kutupia picha za mrembo huyo kwa followers wake zaidi ya 9,000 kwenye Instagram.


Young Killer na Halimaty wakiwa Mlimani City0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...