Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, April 13, 2014

BREAKING NEWS : MZEE GURUMO AFARIKI DUNIA.

inna lilah wainna ilaih rajiun...Ni mzee wa siku nyingi sana kwenye
muziki Tanzania ambae aliwahi
kuingia kwenye vichwa vya habari
mara nyingi hasa kutokana na
kuugua kwake kuliko mfanya aache
hata muziki aliokua anaufanya.
Taarifa zilizothibitishwa na hospitali
ya Taifa Muhimbili kwa
millardayo.com zimesema Mzee huyu
amefariki dunia akiwa hospitalini
hapo leo April 13 2014 saa nane
mchana baada ya kuletwa jana
asubuhi na kulazwa kwenye wodi
namba 6 ya Mwaisela kutokana na
kuzidiwa.
Tayari mwili wake umepelekwa
kwenye chumba cha kuhifadhia maiti
ambapo taarifa zaidi kuhusu chanzo
cha kifo na taratibu za mazishi

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages