Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, April 18, 2014

FLAVIANA MATATA AWA MTANZANIA WA KWANZA KUTHIBITISHWA NA FACEBOOK KWA KUPATA " VERIFIED TICK" TAZAMA HAPA.


Screen Shot 2014-04-19 at 1.09.28 AM
Flaviana Matata amekua mwakilishi mzuri wa Tanzania kwenye nchi mbalimbali alizofanya kazi kama Ufaransa, Hispania na Marekani ambako anaishi sasa hivi New York.
Flaviana amethibitishwa rasmi na facebook kwamba hiyo account yenye hicho kitiki hapo juu ndio account yake pekee na halali hivyo ule utapeli ambao ulikua unafanywa kwa kutumia account nyingine feki za Flaviana utaishia hapa.
Flavvy anakua Mtanzania wa kwanza ninaemfahamu kuwa verified na facebook ambapo tayari kwenye account yake ya twitter yuko verified pia ambapo Watanzania wengine ambao wako verified twitter ni President Jakaya, Hasheem, Ay, mawaziri January Makamba na Lazaro Nyalandu.
Screen Shot 2014-04-19 at 1.10.06 AM

source: milard ayo

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages