Breaking

Post Top Ad

Thursday, April 17, 2014

HUYU NDIYE "ANISA MPUNGWE" TANZANIAN FASHION DESIGNER , AANAYEFANYA KAZI SOUTHAFRICA ALIYETAJWA KWENYE TUZO ZA MTV AKIWANA DIAMOND.STORY BY: DARVEL KARDASHIAN

 ANISA MPUNGWE.

wamekuwepo ma designer weng wakitanzania wanaoishinchi za nje wenye mafanikio makubwa akiwemo CHRISTINE MHANDO  (CHICHIA LONDON) aishiye nchini uingereza ambaye ameshamvalisha mwimbaji BEYONCE  katika matamasha mbalimbali kwa nguo aina ya khanga.

CHRISTINE MHANDO KATIKATI YA PICHA
Nchini south Africa, designer wakitanzania ANISA MPUNGWE  amekua akionesha mambo mengi makubwa katika ulimwengu wa fashion.
Na hii ndio historia yake;


History

kwa sasa ni mmiliki  wa brand ya LOIN CLOTH AND ASHES huko nchini southafrica.na sasa
 MTV africa awards 2014  wamemchagua  kugombania katika kipengele cha:-

 Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)
I See a Different You (South Africa)
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)

TWEET YA ANISA AKIFURAHI BAADA YA MTV KUMTAJA KAMA MOJA YA NOMINEES

DARVEL FORUM. INA KUTAKIA USHINDI NASAFARI NJEMA KATIKA ULIMWENGU HUU WA FASHION.
GOD BLESS YOU.

Post Top Ad

Pages