HUYU NDIYE KOCHA MPYA WA MAN UTD ATAKAYE BEBA MIKOBA YA DAVID MOYESKutokana na kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 Manchester United wamemtangaza Mchezaji wa siku nyingi wa Manchester United Ryan Giggs kukabidhiwa  kwa muda mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa jana.

0 comments:

linkwithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...