Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, April 26, 2014

HUYU NDIYE MKE WA JB. MTAZAME HAPA.


BAADA ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu, msanii wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe, Irene na kumwagiwa pongezi.

JB alipongezwa na mastaa tofauti mara baada kumuanika mkewe huyo katika mitandao ya kijamii.
“Mh! Leo JB ameamua kweli maana tangu afunge ndoa hatujawahi kumuona mkewe, hongera sana, Mungu awajalie,” alisema Mayasa Mrisho ‘Maya.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages