Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, April 12, 2014

MASOGANGE AKUTANA NA MWENYE MAKALIO MAKUBWA KAMA YAKE NA KULINGISHIANA,TAZAMA HAPA.


MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.
 
Modo anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange’ katika pozi tofauti.
Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauzi.
Masogange na Samia katika pozi.
Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga baada ya paparazi wetu kumhoji.
“Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe,” alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages