Featured Posts

test

Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, April 12, 2014

MUME WANGU JOGOO HALIWIKI, WIKI YA TATU SASA, YANI HATA NI MTEGE VIPI, NISAIDIENI PLZNimeishi na mume wangu mwaka wa tatu sasa, amekua akipiga kazi mpaka nafurahi, ananifiki kilele hata mara nne kwa siku moja, lakini sasa hivi ni wiki ya tatu hasimamishi yani mpaka hata yeye mwenyewe anakosa amani kabisa, najaribu kumtega kwa kila mikao na visa visa vywa kimahaba lakini imeshindikana. Naombeni ushauri jamani  kama kuna namna nikamsaidia mume wangu, nampenda sana, sitaki kumsaliti.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages